Episode's summary
Sanaa ya Uoni ikiwemo Uchoraji ,Wasanii wanachora na kufanya kazi ndani ya studio zilizotengenezwa kwa makontena katika eneo la wazi la kituo cha Nafasi Arts Space, Wilson Mpango ni Mchoraji.
Sanaa ya Uoni ikiwemo Uchoraji ,Wasanii wanachora na kufanya kazi ndani ya studio zilizotengenezwa kwa makontena katika eneo la wazi la kituo cha Nafasi Arts Space, Wilson Mpango ni Mchoraji.
Episodes
Tanzania: Sanaa ya uchoraji wa Wilson Mpango
ListenedSanaa ya Uoni ikiwemo Uchoraji ,Wasanii wanachora na kufanya kazi ndani ya studio zilizotengenezwa kwa makontena katika eneo la wazi la kituo cha Nafasi Arts Space, Wilson Mpango ni Mchoraji.
Tanzania: Sanaa ya uigizaji wa sauti na Mohamed Kaboba
ListenedUigizaji wa Sauti ni Sanaa nyingine inayokua kwa kasi na sasa imeanza kuwalipa waigizaji, Mohamed Kaboba anajivunia kazi hiyo.
Sanaa ya ushairi na Suleiman Nambwangula
ListenedUshairi Jukwaani ni uwasilishaji wa mashairi mbele ya hadhira kwa njia ya sauti, vitendo, na hisia ili kufikisha ujumbe kwa nguvu na mvuto zaidi, Tofauti na ushairi wa kusoma vitabuni, ushairi huu huishi kupitia mtumbuizaji na huchanganya sanaa ya maneno na maigizo.
Sanaa ya uchoraji jijini Dar es salaam naye Nasima yasin Abubakari
ListenedUkosefu wa Vifaa vya Uchoraji umechangia Sanaa hiyo kudumaa, sasa wachoraji wanalazimika kuagiza kutoka nchi za nje, Kaguta atafuta ufumbuzi.
Tanzania: Tamasha la marafiki festival mwaka wa 2026
ListenedWikendi hii tunaangazia msimu wa saba wa tamasha la marafiki festival. Tamasha linalolenga kutangaza utamaduni wa Tanzania.