Episode's summary
Kila mwaka dunia huadimisha siku ya watoto duniani kuangazia haki zao. Skiza maoni ya mskilizaji kuhusu siku hiyo
Kila mwaka dunia huadimisha siku ya watoto duniani kuangazia haki zao. Skiza maoni ya mskilizaji kuhusu siku hiyo
Episodes
Je watoto wanashughulikiwa ipasavyo?
ListenedKila mwaka dunia huadimisha siku ya watoto duniani kuangazia haki zao. Skiza maoni ya mskilizaji kuhusu siku hiyo
Wanahabari mashariki mwa DRC wapitia kipindi kigumu
ListenedWaandishi wa habari nchini DRC eneo la Mashariki wamekuwa wakiptia kipindi kigumu tangu waasi wa M23 kuteka miji kadhaa eneo hilo. Skiza makala haya kufamu mengi
Kenya : Haki za waandishi wa habari
ListenedKila mwaka dunia huadimisha siku ya kimataifa ya kumaliza dhuluma na uhalifu dhidi ya wanahabari. Kwenye makala haya tunaangazia haki za mwandishi wa habari kanda ya Africa Mashariki na dunia kwa jumla.
Kenya: Shirika la Xolani lafufua matumaini kwa wasichana katika mitaa ya mabanda
ListenedNchini Kenya shirika la Xolani Women of Hope limekuwa likiwahamasisha kina mama na vijana kuhusu haki za jinsia, ushirika wa vijana na ukatili wa kijinisia. George Ajowi amezungumza na mwanzilishi wa shirika hilo Dorcas Moraa katika makala ya Jua Haki zao.
Kenya : Wakimbizi wakoseshwa amani na sera za rais Donald Trump
ListenedSafari ya kuwa mkimbizi si rahisi Skiza makala kufahamu mengi.