Episode's summary
Kila Ijuma unapata nafasi ya kuchangia yoyoye ndani ya makala Habari rafiki, idhaa ikiwa ni kiswahili ya radio France Skiza maoni ya juma hili;
Kila Ijuma unapata nafasi ya kuchangia yoyoye ndani ya makala Habari rafiki, idhaa ikiwa ni kiswahili ya radio France Skiza maoni ya juma hili;
Episodes
Maoni ya mskilizaji juma hili kuhusu habari zetu
ListenedKila Ijuma unapata nafasi ya kuchangia yoyoye ndani ya makala Habari rafiki, idhaa ikiwa ni kiswahili ya radio France Skiza maoni ya juma hili;
Kenya : Mbunge anaswa akiiba simu ya mwenzie bungeni
ListenedNchini Kenya , mjadala unaendelea baada ya spika wa bunge, spika Moses Masika Wetang'ula, kukiri kwamba kuna mbunge aliyenaswa na kamera za CCT, akiiba simu ya mbunge mwenzake bungeni. Tunakuuliza kitendo kama hiki kinatoa picha gani kwa jamii?
Kenya na DRC zakubaliana kurejesha uhusiano wa kidiplomasia
ListenedKenya na DRC zimekubaliana kurejesha uhusiano wa kidiplomasia baada ya miaka mitatu ya mvutano na uhusiano baridi. Je, ni sahihi kwa nchi wanachama wa jumuiya moja kuwa na migogoro? Skiza makala haya.
CAS : Yarejeshea Senegal ushindi wa AFCON
ListenedMahakama ya usuluhishi wa michezo CAS imerejeshea Senegal ushindi wa AFCON. Skiza makala